Holy Spirit Connect
Holy Spirit Connect
  • Видео 763
  • Просмотров 7 387 190
MAOMBI YA KUOMBA NGUVU ZA KUUSHINDA MWILI - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA NGUVU ZA KUUSHINDA MWILI - Innocent Morris
Katika maombi haya utaomba Mungu akupe neema na nguvu ya kuuweza na kuushinda mwili wako. Utaomba Mungu atawale hisia zako zote na akupe neema ya kushinda vishawishi vyote vya mwili. Maombi haya ni ya baraka sana kwako.
"Kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima "
1 Wathesalonike 4:4
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
holyspiritconnect
Facebook Link:
holyspiritconnect/
RUclips Link:
ruclips.net/user/holyspiritconnect
Просмотров: 1 053

Видео

JIVUNIE KUWA NA YESU NA SIO KUWA NA DINI - Innocent Morris
Просмотров 77314 дней назад
JIVUNIE KUWA NA YESU NA SIO KUWA NA DINI - Innocent Morris
NITWAE HIVI NILIVYO Tenzi za rohoni No. 49 - Innocent Morris
Просмотров 1,4 тыс.14 дней назад
NITWAE HIVI NILIVYO Tenzi za rohoni No. 49 - Innocent Morris Lyrics 49 Nitwae hivi nilivyo 1. Nitwae hivi nilivyo, Umemwaga damu yako, Nawe ulivyoniita, Bwana Yesu,naja,naja. 2. Hivi nilivyo;si langu Kujiosha roho yangu; Nisamehe dhambi zangu, Bwana Yesu,naja,naja. 3. Hivi nilivyo; sioni Kamwe furaha moyoni; Daima ni mashakani, Bwana Yesu,naja,naja. 4. Hivi nilivyo kipofu, maskini na mpungufu; ...
MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU - Innocent Morris
Просмотров 1,8 тыс.14 дней назад
MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU - Innocent Morris Ubarikiwe sana. Innocent Morris 255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: 255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: holyspiritconnect Facebook Link: holyspiritconnect/ RUclips Link: ruclips.net/user/holyspiritconnect
VITU VINAVYONYA NGUVU YA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO - Innocent Morris
Просмотров 1,9 тыс.21 день назад
VITU VINAVYONYA NGUVU YA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO - Innocent Morris Innocent Morris 255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: 255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: holyspiritconnect Facebook Link: holyspiritconnect/ RUclips Link: ruclips.net/user/holyspiritconnect
MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris
Просмотров 3,9 тыс.28 дней назад
MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris Haya ni maombi maalum kwa mtu yeyote ambaye anataka utulivu wa moyo. Mtu aliyeumwa moyo, maana yake mtu mwenye uchungu, majeraha ya moyo, huzuni n.k haya maombi yana kuhusu. Omba kwa imani na hakika utaona Mungu akiuganga moyo wako. Ubarikiwe sana. Innocent Morris 255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spi...
JINSI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO - Innocent Morris
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
JINSI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO - Innocent Morris Jifunze kuachilia damu ya Yesu katika kila eneo la maisha yako kila siku. Na utaona ushindi mkubwa katika maisha yako. Kwa maana kuna nguvu kwenye damu ya Yesu. "Kwa kuwa Bwana atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, Bwana atapita juu ya ...
DALILI 6 ZA KUKUONYESHA UNAKUA KIROHO - Innocent Morris
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
DALILI 6 ZA KUKUONYESHA UNAKUA KIROHO - Innocent Morris Ubarikiwe sana. Contacts: 255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: 255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: holyspiritconnect Facebook Link: holyspiritconnect/ RUclips Link: ruclips.net/user/holyspiritconnect
JINSI YA KUKUA KIROHO Part 1 - Innocent Morris
Просмотров 2,5 тыс.Месяц назад
JINSI YA KUKUA KIROHO Part 1 - Innocent Morris Somo hili litakusaidia sana kujifunza namna ya kukua kiroho. Na utaweza kupiga hatua katika kila eneo la maisha yako ya kiroho, kimaombi, katika kusoma neno n.k Chukua kalamu yako na daftari ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris 255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: 25565...
KWA NINI UNAOMBA SANA LAKINI HUMUONI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO Part 2 - Innocent Morris
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
KWA NINI UNAOMBA SANA LAKINI HUMUONI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO Part 2 - Innocent Morris
KWA NINI UNAOMBA SANA LAKINI HUMUONI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO Part 1 - Innocent Morris
Просмотров 2,2 тыс.Месяц назад
KWA NINI UNAOMBA SANA LAKINI HUMUONI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO Part 1 - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
Просмотров 9 тыс.2 месяца назад
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
SABABU YA YESU KUJA DUNIANI - Innocent Morris
Просмотров 1,5 тыс.2 месяца назад
SABABU YA YESU KUJA DUNIANI - Innocent Morris
NGUVU YA MAOMBI YA KUSHUKURU - Innocent Morris
Просмотров 4 тыс.3 месяца назад
NGUVU YA MAOMBI YA KUSHUKURU - Innocent Morris
JINSI YA KUOMBA BILA KUSUKUMWA NA HISIA - Innocent Morris
Просмотров 4 тыс.3 месяца назад
JINSI YA KUOMBA BILA KUSUKUMWA NA HISIA - Innocent Morris
KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KUOMBA - Innocent Morris
Просмотров 9233 месяца назад
KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KUOMBA - Innocent Morris
UMUHIMU WA KUAMKA MAPEMA ASUBUHI KUOMBA - Innocent Morris
Просмотров 1,6 тыс.4 месяца назад
UMUHIMU WA KUAMKA MAPEMA ASUBUHI KUOMBA - Innocent Morris
MAOMBI: OMBA MUNGU AKUPE NGUVU YA KUSHINDA CHANGAMOTO NA MAJARIBU - Innocent Morris
Просмотров 2,4 тыс.4 месяца назад
MAOMBI: OMBA MUNGU AKUPE NGUVU YA KUSHINDA CHANGAMOTO NA MAJARIBU - Innocent Morris
NGUVU YA DAMU YA YESU - Innocent Morris
Просмотров 1,2 тыс.4 месяца назад
NGUVU YA DAMU YA YESU - Innocent Morris
MAOMBI YA KIBALI KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris
Просмотров 2 тыс.4 месяца назад
MAOMBI YA KIBALI KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris
MAOMBI YA ULINZI NA BARAKA KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris
Просмотров 2,5 тыс.4 месяца назад
MAOMBI YA ULINZI NA BARAKA KWA MWAKA 2024 - Innocent Morris
JINSI KIBALI KINAVYOLETA MABADILIKO MAKUBWA - Innocent Morris
Просмотров 4,4 тыс.5 месяцев назад
JINSI KIBALI KINAVYOLETA MABADILIKO MAKUBWA - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA MPYA 2024 - Innocent Morris
Просмотров 7 тыс.5 месяцев назад
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA MPYA 2024 - Innocent Morris
UNABII WA MWAKA MPYA 2024 | Innocent Morris
Просмотров 4,3 тыс.5 месяцев назад
UNABII WA MWAKA MPYA 2024 | Innocent Morris
MAOMBI YA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAKA 2023 by Innocent Morris
Просмотров 3,3 тыс.6 месяцев назад
MAOMBI YA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAKA 2023 by Innocent Morris
JIFUNZE KUMNGOJA BWANA UNAPOOMBA Part 2 - Innocent Morris
Просмотров 2,4 тыс.7 месяцев назад
JIFUNZE KUMNGOJA BWANA UNAPOOMBA Part 2 - Innocent Morris
JIFUNZE KUMNGOJA BWANA UNAPOOMBA Part 1 - Innocent Morris
Просмотров 4 тыс.7 месяцев назад
JIFUNZE KUMNGOJA BWANA UNAPOOMBA Part 1 - Innocent Morris
JINSI YA KUVISHINDA VITA VYAKO - Innocent Morris
Просмотров 3,4 тыс.7 месяцев назад
JINSI YA KUVISHINDA VITA VYAKO - Innocent Morris
FANYA HIVI UNAPOKUWA KWENYE MAGUMU - Innocent Morris
Просмотров 6 тыс.8 месяцев назад
FANYA HIVI UNAPOKUWA KWENYE MAGUMU - Innocent Morris
JIFUNZE KUAMKA ASUBUHI KUOMBA by Innocent Morris
Просмотров 2 тыс.8 месяцев назад
JIFUNZE KUAMKA ASUBUHI KUOMBA by Innocent Morris

Комментарии

  • @user-eo9kv7ld1w
    @user-eo9kv7ld1w Час назад

    Akika nimeuona mkono WA bwana ameen

  • @user-eo9kv7ld1w
    @user-eo9kv7ld1w Час назад

    Unipe nguvu ya kushinda vishawishi bwana yesu asante bwana yesu naomba neema ameeen

  • @user-eo9kv7ld1w
    @user-eo9kv7ld1w Час назад

    Bwana yesu naomba neema ya kuyafanya mapenzi yako ikawe juu yangu ndani ya familia ya gu ameeen

  • @rehemakibwana967
    @rehemakibwana967 Час назад

    Napokea kibali chako Bwana Yesu katika kila eneo la maisha yangu!

  • @user-eo9kv7ld1w
    @user-eo9kv7ld1w Час назад

    Siku ya Leo mungu naomba ikawe siku ya furaha kwangu ikawe siku ya kicheko kwangu nikazipokee baraka kwangu

  • @elisifamruma-bc7lp
    @elisifamruma-bc7lp 3 часа назад

    Asante Yesu

  • @anithamuttassa8981
    @anithamuttassa8981 3 часа назад

    Amen Amen Amen 🙏🏼

  • @user-ez4jm2rq9b
    @user-ez4jm2rq9b 4 часа назад

    Amen mungu awabriki naamin npo huru kuanzia sasa

  • @liliannyakerario8180
    @liliannyakerario8180 5 часов назад

    Eee mungu naomba kile kilicho pandwa kwa ndoa yangu na watoto wangu wanikatae eee Mungu naomba ukaweza kung'oa

  • @consolatamnyuka
    @consolatamnyuka 6 часов назад

    Mungu niinulie watu sahihi wa kunisaidia mwanangu Verena apate kazi sahihi na Mungu biashara yangu ikue na nipate watu sahihi wa kulima shamba langu

  • @carolinekigembe4426
    @carolinekigembe4426 6 часов назад

    Bwana Yesu tenda jambo jipya kwa mwanangu

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 8 часов назад

    Bwana yesu walinde watoto wangu mahali walipo kwa damu ya yesu kristo

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 8 часов назад

    Bwana yesu nawaleta mikononi mwako kwa jina la yesu kristo

  • @IsironiKinyamuve
    @IsironiKinyamuve 9 часов назад

    Eee bwana mwenye ni ite mwenye rehema uni rehemu kwani mmimi ni muovu Ila Uni kubali ginsi ni livyo na uni oshe zambi zangu zote tangu sasa katika jina la yesu kristo amène

  • @StanleyEmmanuel-jq7xs
    @StanleyEmmanuel-jq7xs 10 часов назад

    Mungu nakuomba ubariki uwabariki watoto wangu na familia yangu aitaji ubariki felemu yangu na familia yangu

  • @StanleyEmmanuel-jq7xs
    @StanleyEmmanuel-jq7xs 10 часов назад

    Ameni ameni

  • @StanleyEmmanuel-jq7xs
    @StanleyEmmanuel-jq7xs 10 часов назад

    Baba mtatifu nakuomba ubaliki usku tulale salama tunavo amka tuamke salama mungu ukabariki uyu mgomo tukafungue kesho

  • @user-fs5ql1cx5c
    @user-fs5ql1cx5c 10 часов назад

    Amen 🙏

  • @PriscaKihiyo
    @PriscaKihiyo 11 часов назад

    Niko hapa YESU ni rehemu nioshe dhambi zangu kwa Damu ya YESU

  • @PriscaKihiyo
    @PriscaKihiyo 11 часов назад

    Eeee MUNGU wangu unirehemu mimi mwenye dhambi naomba toba kwa ajili ya familia yangu na rafiki zangu wote

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 12 часов назад

    Bwana yesu naomba unweshishe kutoa mwili wangu katika heshima na kuwa utakatifu kuwa dhabihu yko kwa jina la yesu

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 15 часов назад

    Amen 👏 🙏

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 16 часов назад

    Nakupenda yesu wangu

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 20 часов назад

    Nipo tayari kutengenezwa na wewe BWANA YESU

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 20 часов назад

    Amen nakupenda ww bwana yesu milele

  • @JumanneBendera
    @JumanneBendera 21 час назад

    Amen

  • @PyeresyagaMwakitalima
    @PyeresyagaMwakitalima 21 час назад

    Amen asante kwa somo zuri

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt День назад

    Huwa nafatilia sana maombi yako nashukur sanaa kwa maomb yako usituache sisi wanawakee wajawazito ameen🙏🙏🙏🙏

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov День назад

    Amen najiunganisha na maombi haya pamoja na jamii yangu yesu naomba usitupite

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov День назад

    Amen

  • @NancyMrembo
    @NancyMrembo День назад

    Amen Mungu atandenda Asante Sana Mungu 🙏

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov День назад

    Amen mungu niwezeshe nipate nguvu mpya ya kufunga na kuomba

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov День назад

    Mungu niwezeshe nipate nguvu yaa maombi ni si Ombersley kawaida kwa jina la yesu amen 🙏

  • @user-dj1fk4ue2x
    @user-dj1fk4ue2x День назад

    Asante 🙏🙏🙏🙏

  • @monicalema8326
    @monicalema8326 День назад

    Najiunganisha haya maombi kwa jina la yesu

  • @MaryMrema-kc2dl
    @MaryMrema-kc2dl День назад

    Asante Yesu wangu Kwa huruma Yako, Asante Kwa kuwa na familia yangu Kwa Kila Hali, nakuomba tulinde usiku huu Nako tulale na kuamka salama tuweze kukutumikia wewe bwana

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 День назад

    Ameeen

  • @AnnaCharles-li2wb
    @AnnaCharles-li2wb День назад

    E mungu nijalie kukua kiroho na nguvu za maombi

  • @AnnaCharles-li2wb
    @AnnaCharles-li2wb День назад

    Amen ubarikiwe mtumishi, nimeota ndoto naona funguo nyingi katika suluari za mume wng funguo nyingi ktk kila suruali je ndoto hii inamaana gan?

  • @daniellamamiro8388
    @daniellamamiro8388 День назад

    Amina sana, nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor nilikuwa mchanga sana kwenye imani ila najiona nikizidi kukua siku hadi siku

  • @daniellamamiro8388
    @daniellamamiro8388 День назад

    Bwana yesu naomba uniondolee hasira za karibu na mdomo, bwana yesu nakuomba unibadilishe

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 День назад

    Amen Ameeeen. Nifinyange vile upendavyo 🙏

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 День назад

    Amen

  • @verolazaro3375
    @verolazaro3375 День назад

    Amen 🙏🙏